Rephonic
Artwork for Kizazi Kipya Podcast

Kizazi Kipya Podcast

kizazikipyapodcast

Hii ni kwa wale wanao uishi ukweli ulio ndani yao. Wanaopitia mchakato wa kupona na kukua kwa namna ambayo ni sahihi na ya kipekee kwao. Kwa walio anza kutambua na kupunguza vikwazo vilivyo kuwapo toka vizazi na vizazi. Walio amua kujikubali na kuwa wao kikamilifu kwa jinsi walivyo .Wanao amini katika kuweka mipaka, kujiweka wa kwanza na kwamba uhalisia ni tofauti kwa kila mmoja wetu. Hawa ni kiza... more

PublishesTwice weeklyEpisodes14Founded6 years ago
Language
Swahili
Categories
Mental HealthHealth & FitnessReligion & SpiritualitySpirituality

Listen to this Podcast

Artwork for Kizazi Kipya Podcast

Latest Episodes

Katika Episode hii Stephen Kaaya amegusia kuhusu kuurudisha uwezo wako wa kuamua cha kufanya kwako, hasa pale unapo kuwa katika tukio ambalo ni la ghafla na hukulitaka. Itakua vyema sana ukichukulia matukio kama hayo kuwa ni fursa, fursa ya kurudisha... more

Hauitaji kujua kila kinacho endelea ili kuwa na amani ya kufanya maamuzi. Hauto weza kujua story nzima kuhusu mazingira yanayo kuzunguka au mtu, hata kama akikwambia mwenyewe. Fanya kwa uwezo wako kwa kuamini kile ulicho sikia au kuona kuwa siyo stor... more

Karibu kwenye episode nyingine ya Juma Jipya Edition ambapo Stephen Kaaya amejaribu kuku kumbusha kutuliza moyo kwa kukumbuka wewe ni binadamu na kupunguza mwendo. Tunapo hisi kama kuna uzito ndani, kama huwezi kuendelea, unapata hisia nyingi kwa wak... more

Kwenye episode hii ya Juma Jipya Edition ya Kizazi Kipya Podcast Stephen Kaaya amejaribu kuku kumbusha kusimama tena na kuwa wewe kikamilifu, kuusikiliza ule msukumo ulio ndani yako, ule msukumo wa kujikubali na  kuusimamia ukweli wako. Simama, uusim... more

Katika episode hii ya Juma Jipya edition  Stephen kaaya amejaribu kuku kumbusha kuwa katika kila mipango tuliyo jiwekea ili tuikamilishe mwaka huu wa 2021 ni muhimu kuwa na misingi imara ambayo ni kwanzia sababu ya kufanya ulilopanga au unalo panga s... more

Kwenye episode hii utakua na Stephen Kaaya akikuelezea kuhusu Kizazi Kipya Podcast kwanzia mwanzilishi na mtayarishaji wake, hadithi ya maisha yake kwa ufupi na nini kilimpelekea kuanzisha KKP, pia natakuelezea mambo ambayo yatakuwa yakiongelewa kwen... more

Katika Juma Jipya Edition hii ambayo ni kama episode maalum Stephen Kaaya amejaribu kuongelea mambo matano ambayo amejifunza hadi sasa katika mwaka 2020.Mambo hayo ni:-1. Siyo kuhusu unacho sema kuwa ni sahihi bali ni kuhusu unacho fanya. 2. Kasi yan... more

Key Facts

Contact Information
Podcast Host

Audience Metrics

Listeners, social reach, demographics and more for this podcast.

Gender SkewLocationInterests
ProfessionsAge RangeHousehold Income
Social Media Reach

Frequently Asked Questions About Kizazi Kipya Podcast

Where can I find podcast stats for Kizazi Kipya Podcast?

Rephonic provides a wide range of podcast stats for Kizazi Kipya Podcast. We scanned the web and collated all of the information that we could find in our comprehensive podcast database. See how many people listen to Kizazi Kipya Podcast and access YouTube viewership numbers, download stats, audience demographics, chart rankings, ratings, reviews and more.

How many listeners does Kizazi Kipya Podcast get?

Rephonic provides a full set of podcast information for four million podcasts, including the number of listeners. View further listenership figures for Kizazi Kipya Podcast, including podcast download numbers and subscriber numbers, so you can make better decisions about which podcasts to sponsor or be a guest on. You will need to upgrade your account to access this premium data.

What are the audience demographics for Kizazi Kipya Podcast?

Rephonic provides comprehensive predictive audience data for Kizazi Kipya Podcast, including gender skew, age, country, political leaning, income, professions, education level, and interests. You can access these listener demographics by upgrading your account.

How many subscribers and views does Kizazi Kipya Podcast have?

To see how many followers or subscribers Kizazi Kipya Podcast has on Spotify and other platforms such as Castbox and Podcast Addict, simply upgrade your account. You'll also find viewership figures for their YouTube channel if they have one.

How many episodes of Kizazi Kipya Podcast are there?

Kizazi Kipya Podcast launched 6 years ago and published 14 episodes to date. You can find more information about this podcast including rankings, audience demographics and engagement in our podcast database.

How do I contact Kizazi Kipya Podcast?

Our systems regularly scour the web to find email addresses and social media links for this podcast. We scanned the web and collated all of the contact information that we could find in our podcast database. But in the unlikely event that you can't find what you're looking for, our concierge service lets you request our research team to source better contacts for you.

Where can I see ratings and reviews for Kizazi Kipya Podcast?

Rephonic pulls ratings and reviews for Kizazi Kipya Podcast from multiple sources, including Spotify, Apple Podcasts, Castbox, and Podcast Addict.

View all the reviews in one place instead of visiting each platform individually and use this information to decide if a show is worth pitching or not.

How do I access podcast episode transcripts for Kizazi Kipya Podcast?

Rephonic provides full transcripts for episodes of Kizazi Kipya Podcast. Search within each transcript for your keywords, whether they be topics, brands or people, and figure out if it's worth pitching as a guest or sponsor. You can even set-up alerts to get notified when your keywords are mentioned.

Find and pitch the right podcasts

We help savvy brands, marketers and PR professionals to find the right podcasts for any topic or niche. Get the data and contacts you need to pitch podcasts at scale and turn listeners into customers.
Try it free for 7 days