
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
| Publishes | Twice monthly | Episodes | 43 | Founded | 14 years ago |
|---|---|---|---|---|---|
| Language | Number of Listeners | Category | Arts |

Uchoraji wa pembe(Qubical Drawings) ni sanaa inayozingatia uwasilishwaji wa ujumbe zaidi kuliko uhalisia wa picha.
Katika makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili tumezungumza na Maria Magige kutoka Daria Arts.
Uigizaji Radio ni mbinu ya kisanii ya kusimulia hadithi, kutoa elimu, au kuburudisha kwa kutumia sauti pekee , Kudra Kwingi ni Miongoni mwa waigizaji wanawake wa mwanzo nchini tanzania anajivuia sana hii, katika Makala ya Nyumba ya Sanaa utamsikia.
Sanaa ya ucheshi wima ni aina ya ucheshi unaotokana na tofauti za hadhi, mamlaka au nafasi za watu katika jamii huku mzaha ukitawala katika kuwasilisha Maudhui, Abdul Chacha maarufu headmaster ni msanii wa sanaa ya ucheshi.
Sanaa ya ucheshi wima ni aina ya ucheshi unaotokana na tofauti za hadhi, mamlaka au nafasi za watu katika jamii huku Mzaha ukitawala katika kuwasilisha Maudhui, Abdul Chacha maarufu Headmaster ni msanii wa sanaa hiyo Ungana na Steven Mumbi akizungumz... more
Nyumba ya sanaa juma hili imeangazia umuhimu wa kuwafundisha watoto lugha, usanii wamuziki za asili, na kujenga utamaduni wa kudumisha lugha za asili, mwanahabari wetu Reuben Lukumbuka anazungumza na msanii wa muziki za kilega, kutoka mjini Goma huko... more
Wiki hii Steven Mumbi anazungumzia kuhusu muziki wa Kifipa
Joseph Issa Mohamed, maarufu Onyango Muigizaji wa Michezo ya Radio, anakumbukwa, katika Makala ya ya Nyumba ya Sanaa.
Muigizaji Nguli Bakari Mbelemba maarufu Mzee Jangala awataka Wasanii wachanga kutobweteka, Sikiliza Makala ya Nyumba ya sanaa.
People also subscribe to these shows.














Listeners, social reach, demographics and more for this podcast.
| Listeners per Episode | Gender Skew | Location | |||
|---|---|---|---|---|---|
| Interests | Professions | Age Range | |||
| Household Income | Social Media Reach | ||||
Rephonic provides a wide range of podcast stats for Nyumba ya Sanaa. We scanned the web and collated all of the information that we could find in our comprehensive podcast database. See how many people listen to Nyumba ya Sanaa and access YouTube viewership numbers, download stats, audience demographics, chart rankings, ratings, reviews and more.
Rephonic provides a full set of podcast information for three million podcasts, including the number of listeners. View further listenership figures for Nyumba ya Sanaa, including podcast download numbers and subscriber numbers, so you can make better decisions about which podcasts to sponsor or be a guest on. You will need to upgrade your account to access this premium data.
Rephonic provides comprehensive predictive audience data for Nyumba ya Sanaa, including gender skew, age, country, political leaning, income, professions, education level, and interests. You can access these listener demographics by upgrading your account.
To see how many followers or subscribers Nyumba ya Sanaa has on Spotify and other platforms such as Castbox and Podcast Addict, simply upgrade your account. You'll also find viewership figures for their YouTube channel if they have one.
These podcasts share a similar audience with Nyumba ya Sanaa:
1. Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
2. Wimbi la Siasa
3. Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)
4. Changu Chako, Chako Changu
Nyumba ya Sanaa launched 14 years ago and published 43 episodes to date. You can find more information about this podcast including rankings, audience demographics and engagement in our podcast database.
Our systems regularly scour the web to find email addresses and social media links for this podcast. We scanned the web and collated all of the contact information that we could find in our podcast database. But in the unlikely event that you can't find what you're looking for, our concierge service lets you request our research team to source better contacts for you.
Rephonic pulls ratings and reviews for Nyumba ya Sanaa from multiple sources, including Spotify, Apple Podcasts, Castbox, and Podcast Addict.
View all the reviews in one place instead of visiting each platform individually and use this information to decide if a show is worth pitching or not.
Rephonic provides full transcripts for episodes of Nyumba ya Sanaa. Search within each transcript for your keywords, whether they be topics, brands or people, and figure out if it's worth pitching as a guest or sponsor. You can even set-up alerts to get notified when your keywords are mentioned.