Rephonic
Artwork for Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

RFI Kiswahili

Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea iwe ni katika uga wa uchumi na siasa duniani kote.

PublishesWeeklyEpisodes37Founded14 years ago
Language
Swahili
Number of ListenersCategory
News

Listen to this Podcast

Artwork for Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Latest Episodes

Makala hii imeangazia kujiuzulu kwa makamu wa rais wa Tanzania Emmanuel Nchimbi, huku bunge limemwidhinisha Deogracias Ndejembi kuwa makamu mpya wa rais, na huko DRC rais Felix Tshisekedi amezindua mazungumzo ya kitaifa ambayo yatadumu kwenye majimbo... more

Makala hii imeangazia ziara ya rais wa DRC Félix Tshisekedi nchini Tanzania, mahakama ya Tanzania yasema kiongozi wa chama cha Chadema Tundu Lissu ana kesi ya kujibu ya uhaini, rais Hakainde Hichilema ndiye mshindi wa uchaguzi mkuu wa Zambia wiki ili... more

Uchaguzi wa urais na wabunge ulivyofanyika nchini Zambia wiki hii, na sasa wananchi wanasubiri matokeo rasmi, baada ya vurugu za siku ya Ijumaa, rais wa Kenya William Ruto aliongoza mazungumzo kuhusu ruwaza ya Kenya 2060, muungano wa upinzani nchini ... more

Mahakama ya Kimataifa ya Haki wiki hii iliratibu vikao vya kuskiliza kesi iliyowaislishwa na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo dhidi ya Rwanda, ambapo Kinshasa inaituhumu Kigali kwa kukiuka mikataba minne ya kimataifa ikiwemo mkataba wa mauaji ya kimb... more

Kinara wa upinzani nchini Uganda azirai akiwa mahakamani, mahakama ya katiba nchini DRC ilisema kwamba sheria iliyopendekezwa kuhusu kuandaa kura ya maoni katika nchi hiyo ni ya kikatiba, seneta wa Nairobi Edwin Sifuna autikisa mwamba wa siasa nchini... more

Shambulio la ADF laua zaidi ya 20 mashariki mwa DRC, ziara ya waziri mkuu Judith Suminwa huko Ituri, gavana wa zamani wa migori akutwa na hatia ya mauaji, huku rais Ruto akionya kuhusu matumizi ya wahuni kwenye mikutano ya kisiasa, siasa za Tanzania,... more

Miongoni mwa yaliyojiri wiki hii ni wapiga kura na wanahabari walivyoshambuliwa wakati wa  uchaguzi mdogo Ol Kalau na kuzua hofu kuhusu uchaguzi wa 2027 nchini Kenya: wanafunzi wasiopungua 20 kupoteza maisha katika ajali ya barabarani kule Uganda, sh... more

Yaliyojiri wiki hii ni kuvunjika kwa makubaliano kati ya Marekani na Iran, mazishi ya kiongozi wa kiroho wa Iran A.Khamenei, rais wa Tanzania Samia Suluhu kuwaonya wanaharakati dhidi ya kuchochea vurugu-wanasiasa wa upinzani, wanahabari pamoja na wan... more

Key Facts

Contact Information
Podcast Host
Number of Listeners
Find out how many people listen to this podcast per episode and each month.

Similar Podcasts

People also subscribe to these shows.

The Daily
The DailyThe New York Times

Top News Podcasts

The Daily
The DailyThe New York Times
Pod Save America
Pod Save AmericaPod Save America
The Ben Shapiro Show
The Ben Shapiro ShowThe Daily Wire
Morning Wire
Morning WireThe Daily Wire
Candace
CandaceCandace Owens
The MeidasTouch Podcast
The MeidasTouch PodcastMeidasTouch Network

Audience Metrics

Listeners, social reach, demographics and more for this podcast.

Listeners per EpisodeGender SkewLocation
InterestsProfessionsAge Range
Household IncomeSocial Media Reach

Frequently Asked Questions About Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Where can I find podcast stats for Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii?

Rephonic provides a wide range of podcast stats for Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii. We scanned the web and collated all of the information that we could find in our comprehensive podcast database. See how many people listen to Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii and access YouTube viewership numbers, download stats, audience demographics, chart rankings, ratings, reviews and more.

How many listeners does Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii get?

Rephonic provides a full set of podcast information for four million podcasts, including the number of listeners. View further listenership figures for Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii, including podcast download numbers and subscriber numbers, so you can make better decisions about which podcasts to sponsor or be a guest on. You will need to upgrade your account to access this premium data.

What are the audience demographics for Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii?

Rephonic provides comprehensive predictive audience data for Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii, including gender skew, age, country, political leaning, income, professions, education level, and interests. You can access these listener demographics by upgrading your account.

How many subscribers and views does Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii have?

To see how many followers or subscribers Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii has on Spotify and other platforms such as Castbox and Podcast Addict, simply upgrade your account. You'll also find viewership figures for their YouTube channel if they have one.

Which podcasts are similar to Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii?

These podcasts share a similar audience with Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii:

1. The Daily

How many episodes of Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii are there?

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii launched 14 years ago and published 37 episodes to date. You can find more information about this podcast including rankings, audience demographics and engagement in our podcast database.

How do I contact Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii?

Our systems regularly scour the web to find email addresses and social media links for this podcast. We scanned the web and collated all of the contact information that we could find in our podcast database. But in the unlikely event that you can't find what you're looking for, our concierge service lets you request our research team to source better contacts for you.

Where can I see ratings and reviews for Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii?

Rephonic pulls ratings and reviews for Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii from multiple sources, including Spotify, Apple Podcasts, Castbox, and Podcast Addict.

View all the reviews in one place instead of visiting each platform individually and use this information to decide if a show is worth pitching or not.

How do I access podcast episode transcripts for Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii?

Rephonic provides full transcripts for episodes of Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii. Search within each transcript for your keywords, whether they be topics, brands or people, and figure out if it's worth pitching as a guest or sponsor. You can even set-up alerts to get notified when your keywords are mentioned.

Find and pitch the right podcasts

We help savvy brands, marketers and PR professionals to find the right podcasts for any topic or niche. Get the data and contacts you need to pitch podcasts at scale and turn listeners into customers.
Try it free for 7 days