Rephonic
Artwork for Wimbi la Siasa

Wimbi la Siasa

RFI Kiswahili

Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa

PublishesWeeklyEpisodes31Founded5 years ago
Language
Swahili
Number of ListenersCategory
News

Listen to this Podcast

Artwork for Wimbi la Siasa

Latest Episodes

Mwishoni mwa mwezi wa Agosti, rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi, alitangaza mpango wa namna mazungumzo ya kitaifa yatakavyofanyika, kusaidia kuleta utulivu wa kisiasa nchini humo. Mazungumzo hayo yataanzia katika mikoa yote 26... more

Mahakama ya Katiba nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwezi Julai, iliidhinisha sheria tata ya kufanyika kwa kura ya maoni, ili kuifanyia katiba mabadiliko baada ya kupitishwa na wabunge mwezi Juni. Hatua hii imewakera wapinzani wa rais Felix Ts... more

Ni mwaka mmoja, kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya. Uchaguzi huo utafanyika tarehe 10 mwezi Agosti mwaka 2027. Wakenya watamchagua rais, Magavana, Maseneta, wabunge, wawakilishi wa kike na viongozi wa Wadi mbalimbali. Hata hivyo, joto la kampeni ya ... more

Nchini Tanzania, maneno maridhiano na Katiba mpya, yameendelea kutawala vinywa vya wanasiasa na wananchi wa taifa hilo baada ya uchaguzi mkuu uliokumbwa na vurugu wa Oktoba mwaka 2025. Hivi karibuni, rais Samia Suluhu Hassan alikutana nna viongozi wa... more

Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya 2027, nyota ya kisiasa ya Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna inaonekana kuanza kung'aa. Sifuna aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama cha ODM, sasa anaongoza vuguvugu linaloitwa Linda Mwananchi. Je, Sifuna ameanza kutembea kwe... more

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi amekubali kuanzisha mazungumzo ya kitaifa kujadili mivutano ya kisiasa likiwemo suala la kuibadilisha katiba na changamoto za kiusalama mashariki mwa nchi hiyo. Tayari muungano wa maaskofu wa... more

Marekani na Iran zimeanza tena kushambuliana, na kuzua wasiwasi wa kuendelea kwa vita vilivyoanza mwezi Februari 2026. Mashambulizi haya yamelenga kudhibiti eneo la Bahari ya Hormuz, njia muhimu inayotumiwa na meli zinazosafirisha mafuta na gesi kuel... more

YouTube

Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, wiki hii amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa upinzani kutoka muungano wa C64 na viongozi wa Kanisa Katoliki na Kiprotestanti nchini DRC, wanaopinga mchakato... more

Key Facts

Contact Information
Podcast Host
Number of Listeners
Find out how many people listen to this podcast per episode and each month.

Similar Podcasts

People also subscribe to these shows.

Habari zote
Habari zoteRFI Kiswahili

Top News Podcasts

The Daily
The DailyThe New York Times
Pod Save America
Pod Save AmericaPod Save America
Still Counting
Still CountingCrooked Media
The Ben Shapiro Show
The Ben Shapiro ShowThe Daily Wire
Candace
CandaceCandace Owens
Morning Wire
Morning WireThe Daily Wire
The Tucker Carlson Show
The Tucker Carlson ShowTucker Carlson Network

Audience Metrics

Listeners, social reach, demographics and more for this podcast.

Listeners per EpisodeGender SkewLocation
InterestsProfessionsAge Range
Household IncomeSocial Media Reach

Frequently Asked Questions About Wimbi la Siasa

Where can I find podcast stats for Wimbi la Siasa?

Rephonic provides a wide range of podcast stats for Wimbi la Siasa. We scanned the web and collated all of the information that we could find in our comprehensive podcast database. See how many people listen to Wimbi la Siasa and access YouTube viewership numbers, download stats, audience demographics, chart rankings, ratings, reviews and more.

How many listeners does Wimbi la Siasa get?

Rephonic provides a full set of podcast information for four million podcasts, including the number of listeners. View further listenership figures for Wimbi la Siasa, including podcast download numbers and subscriber numbers, so you can make better decisions about which podcasts to sponsor or be a guest on. You will need to upgrade your account to access this premium data.

What are the audience demographics for Wimbi la Siasa?

Rephonic provides comprehensive predictive audience data for Wimbi la Siasa, including gender skew, age, country, political leaning, income, professions, education level, and interests. You can access these listener demographics by upgrading your account.

How many subscribers and views does Wimbi la Siasa have?

To see how many followers or subscribers Wimbi la Siasa has on Spotify and other platforms such as Castbox and Podcast Addict, simply upgrade your account. You'll also find viewership figures for their YouTube channel if they have one.

Which podcasts are similar to Wimbi la Siasa?

These podcasts share a similar audience with Wimbi la Siasa:

1. Habari zote

How many episodes of Wimbi la Siasa are there?

Wimbi la Siasa launched 5 years ago and published 31 episodes to date. You can find more information about this podcast including rankings, audience demographics and engagement in our podcast database.

How do I contact Wimbi la Siasa?

Our systems regularly scour the web to find email addresses and social media links for this podcast. We scanned the web and collated all of the contact information that we could find in our podcast database. But in the unlikely event that you can't find what you're looking for, our concierge service lets you request our research team to source better contacts for you.

Where can I see ratings and reviews for Wimbi la Siasa?

Rephonic pulls ratings and reviews for Wimbi la Siasa from multiple sources, including Spotify, Apple Podcasts, Castbox, and Podcast Addict.

View all the reviews in one place instead of visiting each platform individually and use this information to decide if a show is worth pitching or not.

How do I access podcast episode transcripts for Wimbi la Siasa?

Rephonic provides full transcripts for episodes of Wimbi la Siasa. Search within each transcript for your keywords, whether they be topics, brands or people, and figure out if it's worth pitching as a guest or sponsor. You can even set-up alerts to get notified when your keywords are mentioned.

Find and pitch the right podcasts

We help savvy brands, marketers and PR professionals to find the right podcasts for any topic or niche. Get the data and contacts you need to pitch podcasts at scale and turn listeners into customers.
Try it free for 7 days