
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.
| Publishes | Twice monthly | Episodes | 39 | Founded | 14 years ago |
|---|---|---|---|---|---|
| Language | Number of Listeners | Category | News |

Kenya imeanza safari ya kutafuta dira mpya ya maendeleo baada ya Ruwaza ya Taifa ya Maendeleo 2030 kuelekea kufikia ukomo wake.
Safari hii inakuja wakati Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC, ikiwa na dira yake ya pamoja ya mwaka 2050, inayolenga kujeng... more
Tunaangazia mjadala kuhusu mustakabali wa maonesho ya nanenane nchini Tanzania. Je yaendelee kuwa jukwaa la teknolojia za kilimo pekee au yafungue milango kwa biashara zote?
Katika Makala ya wiki hii, tunaangazia safari ya Tohara ya kitabibu kutoka mila hadi afya ya umma.
Katika Makala ya Afrika Mashariki, tunaangazia mchakato wa mazungumzo ya kitaifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, nafasi ya viongozi wa dini na matarajio ya wadau wa kisiasa katika kutafuta amani na maridhiano ya kudumu.
Baada ya mvutano wa kisiasa uliojitokeza mara baada ya uchaguzi mkuu uliopita huko Zanzibar, sasa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo vimesaini makubaliano mapya ya maridhiano.
Lakini je, makubaliano hayo yatafungua ukurasa mpya wa demokrasia... more
Tunaangazia hali ya Ziwa Victoria, changamoto zinazolikabili pamoja na juhudi za kikanda zinazofanyika kulinusuru ziwa hilo ambalo ni mhimili wa uchumi na maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki.
Ziwa Victoria, ambalo ni tegemeo la mamilioni ya wanan... more
Makala ya Afrika Mashariki, ikiangazia juu ya ripoti ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa October 29, 2025 nchini Tanzania.
April 7, 1994 ni siku ya ambayo historia ya Rwanda ilianadikwa kwa wino mwekundu kumaanisha hatari, kifo cha Rais zamani wa Taifa hilo Juvenal Habyarimana aliuawa akitokea nchini Tanzania katika mchakato wa kusaka amani nchini Rwanda, baada ya waasi ... more
People also subscribe to these shows.









Listeners, social reach, demographics and more for this podcast.
| Listeners per Episode | Gender Skew | Location | |||
|---|---|---|---|---|---|
| Interests | Professions | Age Range | |||
| Household Income | Social Media Reach | ||||
Rephonic provides a wide range of podcast stats for Afrika Ya Mashariki. We scanned the web and collated all of the information that we could find in our comprehensive podcast database. See how many people listen to Afrika Ya Mashariki and access YouTube viewership numbers, download stats, audience demographics, chart rankings, ratings, reviews and more.
Rephonic provides a full set of podcast information for four million podcasts, including the number of listeners. View further listenership figures for Afrika Ya Mashariki, including podcast download numbers and subscriber numbers, so you can make better decisions about which podcasts to sponsor or be a guest on. You will need to upgrade your account to access this premium data.
Rephonic provides comprehensive predictive audience data for Afrika Ya Mashariki, including gender skew, age, country, political leaning, income, professions, education level, and interests. You can access these listener demographics by upgrading your account.
To see how many followers or subscribers Afrika Ya Mashariki has on Spotify and other platforms such as Castbox and Podcast Addict, simply upgrade your account. You'll also find viewership figures for their YouTube channel if they have one.
These podcasts share a similar audience with Afrika Ya Mashariki:
1. Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
2. Wimbi la Siasa
3. Crime Junkie
Afrika Ya Mashariki launched 14 years ago and published 39 episodes to date. You can find more information about this podcast including rankings, audience demographics and engagement in our podcast database.
Our systems regularly scour the web to find email addresses and social media links for this podcast. We scanned the web and collated all of the contact information that we could find in our podcast database. But in the unlikely event that you can't find what you're looking for, our concierge service lets you request our research team to source better contacts for you.
Rephonic pulls ratings and reviews for Afrika Ya Mashariki from multiple sources, including Spotify, Apple Podcasts, Castbox, and Podcast Addict.
View all the reviews in one place instead of visiting each platform individually and use this information to decide if a show is worth pitching or not.
Rephonic provides full transcripts for episodes of Afrika Ya Mashariki. Search within each transcript for your keywords, whether they be topics, brands or people, and figure out if it's worth pitching as a guest or sponsor. You can even set-up alerts to get notified when your keywords are mentioned.