Rephonic
Artwork for Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu

Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu - Njia ya tahadhari kwako katika kumpokea Roho Mtakatifu

The New Life Mission

Katika Ukristo nyakati hizi, mojawapo ya mambo yanayozungumziwa mara nyingi ni kuhusiana na habari za "wokovu toka dhambini" na "kupokea uwepo wa Roho Mtakatifu". Hata hivyo ni watu wachache walio na ufahamu ulio sahihi wa mambo haya mawili, ingawa ukweli ni kwamba haya ni mabo mawili muhimu kuhusiana na maswala ya Ukristo. Mbaya ni nini, bado hatujaweza kupata maandiko yanayo tufunza kwa uwazi ju... more

PublishesDailyEpisodes21Founded3 years ago
Language
Swahili
Categories
Religion & SpiritualityChristianity

Listen to this Podcast

Artwork for Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu

Latest Episodes

Hapo mwanzo nilipatwa na tukio la kujiwa na miale ifananayo kama Roho Mtakatifu wakati wa maombi. Lakini miale hii haikudumu kwa muda, hivyo punde ilitoweka mbele ya kitita cha dhambi. Ingawa leo napenda kukuonyesha ukweli kuhusu Roho Mtakatifu ambay... more

Husika na somo kuu katika kifungu hiki, napenda kuleta ujumbe huu iwapo “mtu anaweza kumpokea Roho Mtakatifu ndani yake kwa kupitia juhudi binafsi”. Mitume katika nyakati hizo za Kanisa la kwanza waliweza kupokea nguvu toka kwa Mungu na kutumwa sehem... more

Aina gani ya Injili Paulo alihubiri? Alihubiri Injili ya ubatizo wa Yesu na damu yake. Matendo 19:1-2 inasema “Ikiwa, Apolo alipokuwa Korintho, Paulo akiisha kupita kati ya nchi za juu akafika Efeso, akakutana na Wanafunzi kadhaa wa kadha huko akawau... more

Kwa kuangalia wafuasi wa Yesu Kristo kiwango cha imani zao walipokuwa na Roho Mtakatifu ndani yao ni tofauti kabisa na imani zao walipokuwa hawajawa na Roho huyo. Miili yao haikuonekana kuwa tofauti lakini baada ya kumpoke Roho Mtakatifu maisha yao y... more

Ikiwa unahitaji kuwa na usharika na Roho Mtakatifu kwanza kabisa lazima uelewe kwamba dhambi iliyo ndogo kabisa mbele ya Mungu inatosha kutokufanya usharika na Mungu. Unaweza kudhani “Sasa itawezekanaje mtu asiwe na dhambi hata kidogo mbele ya Mungu?... more

Katika kifungu kilichopita hapo juu tumeona wanawali watano wenye busara na wapumbavu, wanawali wapumbavu waliwaomba wale wenyebusara kuwagawia kiasi cha mafuta ya taa lakini wenye busara wakawajibu wale wapumbavu “hayatatutosha sisi na ninyi shikeni... more

Ili kumpokea Roho Mtakatifu tunahitajika kuwa na imani katika injili ya maji na Roho. Bwana wetu ameitwa wa Ajabu, Mshauri na Mungu mwenye Enzi. Bwana wetu amejitambulisha ndiye njia ya kwenda Mbinguni. Yesu Kristo amempatia kila mmoja zawadi ya Inij... more

Maji ya uzima ya Roho Mtakatifu hutiririka toka mioyo ya wale wote wanao amini injili njema. Yohana 7:38 inasema “Aniaminiye mimi kama vile maandiko yalivyonena mito ya maji yaliyo hai itatiririka ndani yake.” Maana yake ni kwamba upo wokovu wa kweli... more

Key Facts

Contact Information
Podcast Host

Audience Metrics

Listeners, social reach, demographics and more for this podcast.

Gender SkewLocationInterests
ProfessionsAge RangeHousehold Income
Social Media Reach

Frequently Asked Questions About Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu

Where can I find podcast stats for Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu?

Rephonic provides a wide range of podcast stats for Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu. We scanned the web and collated all of the information that we could find in our comprehensive podcast database. See how many people listen to Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu and access YouTube viewership numbers, download stats, audience demographics, chart rankings, ratings, reviews and more.

How many listeners does Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu get?

Rephonic provides a full set of podcast information for three million podcasts, including the number of listeners. View further listenership figures for Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu, including podcast download numbers and subscriber numbers, so you can make better decisions about which podcasts to sponsor or be a guest on. You will need to upgrade your account to access this premium data.

What are the audience demographics for Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu?

Rephonic provides comprehensive predictive audience data for Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu, including gender skew, age, country, political leaning, income, professions, education level, and interests. You can access these listener demographics by upgrading your account.

How many subscribers and views does Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu have?

To see how many followers or subscribers Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu has on Spotify and other platforms such as Castbox and Podcast Addict, simply upgrade your account. You'll also find viewership figures for their YouTube channel if they have one.

How many episodes of Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu are there?

Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu launched 3 years ago and published 21 episodes to date. You can find more information about this podcast including rankings, audience demographics and engagement in our podcast database.

How do I contact Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu?

Our systems regularly scour the web to find email addresses and social media links for this podcast. We scanned the web and collated all of the contact information that we could find in our podcast database. But in the unlikely event that you can't find what you're looking for, our concierge service lets you request our research team to source better contacts for you.

Where can I see ratings and reviews for Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu?

Rephonic pulls ratings and reviews for Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu from multiple sources, including Spotify, Apple Podcasts, Castbox, and Podcast Addict.

View all the reviews in one place instead of visiting each platform individually and use this information to decide if a show is worth pitching or not.

How do I access podcast episode transcripts for Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu?

Rephonic provides full transcripts for episodes of Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu. Search within each transcript for your keywords, whether they be topics, brands or people, and figure out if it's worth pitching as a guest or sponsor. You can even set-up alerts to get notified when your keywords are mentioned.

Find and pitch the right podcasts

We help savvy brands, marketers and PR professionals to find the right podcasts for any topic or niche. Get the data and contacts you need to pitch podcasts at scale and turn listeners into customers.
Try it free for 7 days