
Neno "Gnosis" hurejelea ujuzi tunaopata kupitia uzoefu (experience) wetu wenyewe, lakini pia si sawa na ujuzi ambao tunaambiwa au kuamini. Gnosis - kwa jina lolote katika historia au utamaduni - ni maarifa, uzoefu, si ujuzi wa kiakili au dhana tu, imani, au nadharia. Neno hili ni sawa na neno la Kiebrania "Daath" na la Sanskrit "Jna."
| Publishes | Weekly | Episodes | 6 | Founded | 2 years ago |
|---|---|---|---|---|---|
| Language | Categories | Society & CulturePhilosophyReligion & SpiritualitySpirituality | |||

Maarifa ya ndani ni kazi ya kiungu ndani ya mwanadamu. Maarifa haya hayahusiani na akili (intellect). Maarifa ama ujuzi hufahamika kwa Kiebrania kama "Daath". Maarifa yanaweza kusababisha uzima ama mauti kwa mtu, itategemeana na kazi za matendo yake.... more
Nyoka hufahamika kama shetani na inaandikwa hivyo. Lakini wanadamu wa tabia za mwili hawafahamu upande wa pili wa kile kinachofahamika kama nyoka! Neno la Kiebrania Tov טוב lina maana na "mema" lakini ndani ya hayo mema tunaona kuna herufi ya Kiebran... more
Neno "mema na mabaya" kwa Kiebania ni טוב ו רע (tov ve ra). Tov טוב ikiwa na herufi tatu yaani Tet ט, Vav ו na Beth ב. Kadhalika Ra רע ikiwa na herufi Resh ר na Ayin ע.
Tatika Tov טוב tunapata kufahamu maana iliopo katika kila herufi zilizofanya nen... more
Tunapozungumzia Adam tunapata tafsiri ya mwanaume, kadhalika Eva, mwanamke. Katika maarifa ya ndani tunapata kufahamu ya kwamba Adam na Eva ni uhusika ambao unakamilisha uhalisia wetu sisi wenyewe. Adam na Eva ni mikondo miwili ya nishati inayofanya ... more
Mti wa ujuzi ni elimu ya kiroho inayohusiana na nafsi ya mwanadamu. Mwili wa mwanadamu ni chombo kinachobeba nafsi na roho hivyo hatuwi na miili kana kwamba haina cha kufanya ambacho kinahusiana na ukombozi wa nafsi zetu.
Kumekuwa mkanganyiko wa maf... more
Gnosis siyo dini kana kwamba watu wake ni wa kutafuta kukusanya watu na kuanzisha nyumba za ibada. Gnosis ni maatifa ya ndani ambayo huambatana na juhudi katika natendo hata kupata matokeo chanya. Wana-gnosis tunaheshimu dini zote maana tunapotizama ... more
How this podcast ranks in the Apple Podcasts, Spotify and YouTube charts.
Apple Podcasts | #89 |









Listeners, social reach, demographics and more for this podcast.
| Gender Skew | Location | Interests | |||
|---|---|---|---|---|---|
| Professions | Age Range | Household Income | |||
| Social Media Reach | |||||
Rephonic provides a wide range of podcast stats for Tanzania Gnosis's podcast. We scanned the web and collated all of the information that we could find in our comprehensive podcast database. See how many people listen to Tanzania Gnosis's podcast and access YouTube viewership numbers, download stats, audience demographics, chart rankings, ratings, reviews and more.
Rephonic provides a full set of podcast information for three million podcasts, including the number of listeners. View further listenership figures for Tanzania Gnosis's podcast, including podcast download numbers and subscriber numbers, so you can make better decisions about which podcasts to sponsor or be a guest on. You will need to upgrade your account to access this premium data.
Rephonic provides comprehensive predictive audience data for Tanzania Gnosis's podcast, including gender skew, age, country, political leaning, income, professions, education level, and interests. You can access these listener demographics by upgrading your account.
To see how many followers or subscribers Tanzania Gnosis's podcast has on Spotify and other platforms such as Castbox and Podcast Addict, simply upgrade your account. You'll also find viewership figures for their YouTube channel if they have one.
Tanzania Gnosis's podcast launched 2 years ago and published 6 episodes to date. You can find more information about this podcast including rankings, audience demographics and engagement in our podcast database.
Our systems regularly scour the web to find email addresses and social media links for this podcast. We scanned the web and collated all of the contact information that we could find in our podcast database. But in the unlikely event that you can't find what you're looking for, our concierge service lets you request our research team to source better contacts for you.
Rephonic pulls ratings and reviews for Tanzania Gnosis's podcast from multiple sources, including Spotify, Apple Podcasts, Castbox, and Podcast Addict.
View all the reviews in one place instead of visiting each platform individually and use this information to decide if a show is worth pitching or not.
Rephonic provides full transcripts for episodes of Tanzania Gnosis's podcast. Search within each transcript for your keywords, whether they be topics, brands or people, and figure out if it's worth pitching as a guest or sponsor. You can even set-up alerts to get notified when your keywords are mentioned.